Meno ya gold ya Diamond yaonekana akimuongelea Harmonize na Korede

nguli wa muziki wa bongo fleva Kupitia Twitter yake Diamond aliandika kuhusu ngoma itayowakutanisha wakali wawili ambao ni Harmoni...


nguli wa muziki wa bongo fleva Kupitia Twitter yake Diamond aliandika kuhusu ngoma itayowakutanisha wakali wawili ambao ni Harmonize wa Tanzania na Korede wa Nigeria, sasa AyoTV imempata kwenye Exclusive Interview na kuelezea ambapo pia muonekano wake ulionekana ukiwa na mabadiliko ya meno ya Gold, tazama hii video hapa chini




Related

Featured 4597222100566179029

Post a Comment

Follow Us

Hot in week

Recent

Comments

RECENT POSTS

item