SIMBA SPORT CLUB LEO INASHUKA DIMBANI
Club ya simba toka nchini tanzania leo inatarajia kucheza mchezo wake wa pili hatua ya makundi dhidi ya as vita club ya congo mchezo huo uta...

https://storizaleo.blogspot.com/2019/01/simba-sport-club-leo-inashuka-dimbani.html
Club ya simba toka nchini tanzania leo inatarajia kucheza mchezo wake wa pili hatua ya makundi dhidi ya as vita club ya congo mchezo huo utafanyika majira ya saa moja kamili saa za afrika mashariki na saa 11 upande wa saa za nchi ya congo.Dua za watanzania na sala zenu zinaitajika kwa simba iliiweze kufanya vizuri hatua za makundi#simbanguvumoja#