Mashindano ya Big Brother Africa yavunjwa

Kama ulikuwa unasubiria kuona mashindano ya Big Brother Africa basi pole sana sababu kwa mwaka huu hayatakuwepo. Mashindano ya Big Br...



Kama ulikuwa unasubiria kuona mashindano ya Big Brother Africa basi pole sana sababu kwa mwaka huu hayatakuwepo.


Mashindano ya Big Brother yametokea kuwavutia watu wengi kutokana na kukutanisha washiriki wanaotoka mataifa mbalimbali ya Afrila, huku Tanzania ikionekana kufanya vizuri kwenye mashindano hayo.

Taarifa zilizotolewa na waandaaji wa mashindano hayo kupitia M-Net wamesema kwa sasa wanajiandaa kuweka mikakati ili kuboresha mashindano hayo hapo mwakani.



“We wish to thank Big Brother Africa fans far and wide for their continues support over the past edition and promise that the shw will go on, on Dstv, with new and excting productions in store from M-Net,” wamesema.

Mpaka sasa taji hilo la Big Brother linashikiliwa na Idris Sultani aliyefanikiwa kushinda mwaka jana na kupata zawadi ya fedha kiasi cha dola laki tatu.



Chanzo: Bongo5.com

Related

Featured 1674626020245519527

Post a Comment

Follow Us

Hot in week

Recent

Comments

RECENT POSTS

item